Leo kuna taarifa zesco united footboll club inapenda kuwataarifu kuwa aliekuwa kocha wao mkuu George Lwandamina amejiuzuru
Nimejiuzulu kuifundisha Zesco United kutokana na kupoteza mechi 4 mfululizo . Sijawahi kuwa na rekodi hii nadhani timu inahitaji mtu mpya . Hii ndio sababu ya kujiuzulu na si vinginevyo"
George Lwandamina

No comments:
Post a Comment