SPORT>>>>YANGA YASAJILI WAWILI - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SPORT>>>>YANGA YASAJILI WAWILI

Share This
Timu ya Yanga mesajili wachezaji wawili  ikiwa ni moja ya kukiongezea nguvu kikosi hicho cha wana jangwani

Hawa ndio wachezaji walio sajiliwa na yanga  MESHACK CHAILA raia wa zambia kiungo mkabaji anatokea zesco fc ya zambia amesain rasmi miaka 2 ndani ya yanga, KIPRE TCHETCHE raia wa ivory coast amesaini miaka 3 ndani ya yanga.


Wachezaji walio achwa ni pamoja na  MBUYU TWITE na  OBREY CHIRWA


No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages