HABARI>>>> TANZIA MWENYEKITI AZAM FC AFARIKI DUNIA - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

HABARI>>>> TANZIA MWENYEKITI AZAM FC AFARIKI DUNIA

Share This
TANZIA: Mwenyekiti wa Klabu ya Azam na Mjumbe wa Bodi ya Ligi Kuu, Said Mohammed amefariki ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Azam FC, Saady Kawemba kwamba marehemu ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF amepatwa na umauti  huo akiwa anaendelea na matibabu hosptal ya aghakhani.


No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages