MUSIC>>>> DIAMOND ACHUKUA TATU NIGERIA - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MUSIC>>>> DIAMOND ACHUKUA TATU NIGERIA

Share This
DIAMOND PLUTNUMZ AKITOA SHUKURANI KWA MASHABIKI ZAKE WALIO MPIGIA KURA

Msanii Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.



Wasanii wengine waliotumbuiza ni pamoja na Patoranking, P-Square, Falz, Eddy Kenzo, Avril, Simi, Darey, Phyno, Seyi Shay na wengine.


Washindi wengine ni hawa

Artist of the Year
Wizkid

Song of The Year
Utanipenda – Diamond

Album of the Year
Ahmed Soultan

Revelation of the year
Falz

Video of the Year
Dogo Yaro – Vvip

Best African Collaboration
Eddy Kenzo ft Niniola – Mbilo Mbilo (Remix)

Best African Group
VVip

Best African Jazz
Jimmy Dludlu

Best Artist/Duo/Song Of The Year
Diamond – Utanipenda

Best Artist/Duo/Group in African Rock
Mvula

Best Artist/Duo/Group African Ragga & Dancehall
Patoranking

Best Artist/Duo/Group African RnB
Henok and Mehari Brothers

Best Artist/Duo/Group African Hiphop
Stanley Enow

Favourites Award
Phyno

Song writer of the year
Unique Muziki – Uganda

Most Promising Artiste
AmineAub

Artiste/Dou/GroupBand in African Contemporary
Flavour

Best female Artiste in Inspirational music
Naomi Achu

Best Male Artiste Western Africa
Flavour

Best female artiste Western Africa
Aramide

Best male artiste Northern Africa
Dj Van

Best male artiste S/Africa
BlackCoffee

Best female artiste S/Africa
Bruna Tatiana

Best Male Artiste Eastern Africa
Diamond Platnumz

Best Female Eastern Africa
Cindy Sanyu
 
Hawa ndio washindi

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages