
- Nahadha wa yanga sc nadir haroub kanavalo ameamua kuvunja ukimya na kuwasihi wanachama na wapenzi watimu ya YANGA waondoe wasiwasi kwa mabadiliko ambayo yanatokea katika klabu hiyo.
- nakusisitiza kwamba wao kama wachezaji wako tayari kufanya kazi na MWALIMU wowote ule ambao ambae UONGOZI utamleta
- nakuomba sana mashabiki na wanachama pia kuwa mabadiliko haya yasi tokee kuwagawa na kuipasua YANGA

hayo ni baathi ya maneno ya mchezaji huyo wa YANGA.

No comments:
Post a Comment