LEOHII :Raisi magufuri aweka jiwe la msingi hostel za wanafunzi UDSM - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

LEOHII :Raisi magufuri aweka jiwe la msingi hostel za wanafunzi UDSM

Share This
Mapema leo hii Raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli  ameweka jiwe la msingi katika mradi waujenz wa hostel ambayo ni mabweni 20 ya wanafunzi wa chuo ki kuu cha Dare es salaam yenye uwezo wa kuchukua wana funzi 3,840 ikiwa ni ni moja ya ahadi ya alio itoa mwezi jun wakati wa uzinduzi wa ujenzi wamakitaba yakisasa ya chuoni hapo.
wakati zoezi hilo likiwa linaendelea na majengo 20 yalio unganishwa yakiwa yamefika ghorofa la nne sawa na kufikia 75% na yanatarajiwa kuka milika ifikapo disembea mwaka huu

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages