Hizi ndizo tunzo walizo shinda wa Tanzania - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Hizi ndizo tunzo walizo shinda wa Tanzania

Share This
Wakati watanzania tukinungunika kwa kukosa tuzo za MTVmama usiku wa kuamkia tarehe 23 usiku huohuo nchini marekan nako kulikuwa natuzo zijulikanazo kama African Enterntaiment Award Usa 2016


Ambapo wa Tanzania wenzetu nao pia walishiriki katika tuzo hizo na kutwaa tuzo kwenye baazi ya vipengele






Tuzo aliyoshinda Harmonize alikua anashindana na Tekno Miles,Ziza Bafana,Ayo Jay,Missy Bk,Jay Oliver,Den G,Togar  Howard na Ziza Bafana.Tuzo aliyoshinda AY wimbo bora wa kushirikiana alikua akishinda na Nagharamia ya Christian Bella na Alikiba,Woju ya Kiss Daniel akiwa kamshirikisha Davido na Tiwa Savage,Pimpina ya Obrafour akiwa kamshrikisha Bisa Kdei,Porque te amo ya To Semedo akiwa kamshirikisha Boss Ac na wimbo wa Nagode wa Yemi Alade akiwa kamshirikisha Selebobo.



Tuzo aliyoshinda Dj D Ommy alikua akishinda na Dj Tunez,Dj Van,Dj Mensah,Dj Brazao,Dj BossMan na Dj Jimmy Jatt,tuzo ya msanii bora wa kiume aliyoshinda Diamond kipengele hicho alikua na Eddy Kenzo,Wizkid,Mc Galaxy,Nelson freitas,Coreon Du na Master jake.

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages