R.I.P THOMAS MASHALI TUTAKUKUMBUKA .KWA USHUJAA WAKO
Bondia
maarufu wa ngumi za kulipwa nchini Thomas Mashali amefariki dunia
usiku wa kuamkia leo Octo 31 2016 maeneo ya Kimara DSM, Taarifa
zinadai kuwa alishambuliwa na watu wasio julikana usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment