SPORT>>>>>KIKOSI CHA MKWASA DHIDI YA ZIMBABWE - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SPORT>>>>>KIKOSI CHA MKWASA DHIDI YA ZIMBABWE

Share This

Leo November 4 2016 yametajwa majina 24 ya wachezaji watakaiongoza Tanzania kucheza dhidi ya Zimbabwe, majina yote 24 yakiongozwa na nahodha wao Mbwana Samatta yamechaguliwa na kocha Mkwasa

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars November 13 2016 itacheza dhidi ya timu ya taifa ya Zimbabwe katika mchezo wa kirafiki, Taifa Stars itacheza mchezo huo wa kirafiki katika mji wa Harare Zimbabwe.

           MAKIPA
 Aishi Manula (Azam)
Said Kipao (JKT Ruvu)
,
         MABEKI
 Andrew Vincent (Yanga),
 David Mwantika (Azam),
 Haji Mwinyi (Yanga), 
Mohamed Husein  (Simba,
 Michael Aidan ( JKT Ruvu )
 James Mwasote ( Prisons).

          VIUNGO
: Himid Mao ( Azam),
 Mohamed Ibrahim(Simba)
Shiza Kichuya,(Simba)
 Jonas Mkude,(Simba)
 Mzamiru Yassin(Simba),
 Jamal Mnyate ( Simba),
 Simon Msuva, ( Yanga)
.
          WASHAMBULIAJI
  Omar Mponda ( Ndanda)
 Thomas Ulimwengu (Huru ),
 Ibrahim Ajib ( Simba) ,
John Bocco ( Azam)
 Mbwana Samatta ( Genk )

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages