HABARI >>>KUTOKA IKULU RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

HABARI >>>KUTOKA IKULU RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE

Share This
Leo  18 Novemba, 2016 amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Diwani Athuman kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.

Rais Magufuli amemteua Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungnaanzaano wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA) na uteuzi huu umeanza tarehe 16 Novemba, 2016.

Rais Magufuli amemteua Dkt. Jones A. Kilimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) na amemteua Sylvester M. Mabumba kuwa makamu Mwenyekiti wa Bodi ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuanzia November 17 2016

Rais Magufuli amemteua Prof. Patrick Makungu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya shirika la Uhandisi na usanifu Mitambo (TEMDO) na uteuzi huu umeanza tarehe 16 Novemba, 2016.

Rais Magufuli amemteua Martin Madekwe kuwa mwenyekiti wa Bodi ya mfuko wa fidia ya ardhi ambapo uteuzi wake umeanza tarehe 17 Novemba, 2016.Rais Magufuli amemteua Prof. Raphael Tihelwa Chibunda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wakurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania (TPRI) na uteuzi wake umeanza tarehe 17 Novemba, 2016.

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages