Mchezo
kati ya Yanga na Ruvu Shooting umesogezwa mbele hivyo utachezwa tarehe
10 Nov badala ya kesho (tarehe 9) kama ilivyopangwa awali.
Maamuzi hayo yamekuja baada ya Klabu ya Ruvu kusema kuwa haipo tayari kucheza mchezo huo kesho (tarehe 9) baada ya timu hiyo kuwasili leo Mlandizi (tar 8 ) majira ya saa 4:15 asubuhi ikitokea Kagera.
Awali mchezo huo ulihairishwa mpaka tarehe 10 Nov ili kupisha Mechi ya Yanga ya Kimataifa, baadae ukarudishwa tarehe 11. Kabla ya kuhamishwa tena hapo jana na kuwekwa tarehe 9 Nov.

No comments:
Post a Comment