Aliyekuwa mbunge wa Mufindi na Waziri wa elimu awamu ya tatu,Ndg Joseph Mungai afariki dunia
Aliwahi kuwa Waziri mwandamizi katika wizara mbalimbali, ikiwemo Wizara yaElimu, Ndg.Joseph Mungai, amefariki dunia jioni ya leo, katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu.
Aidha mwanasiasa huyo mkongwe nchini alikihama chama chake cha CCM na kujiunga na chama cha siasa cha CHADEMA katika harakati za uchaguzi
mkuu mwaka 2015.
Mungu ailaze mahala pema peponi amina


No comments:
Post a Comment