Ni Masaa 2 na dakika 45 ya Rais Magufuli kusimama akiongea na Vyombo vya Habari leo tarehe 4 Novemba 2016.Raisi John Magufuli amesema anatamani kesho angekuwepo kwenye FIESTER angalau akapige tumba pale jukwaani hata dakika chache tu ili aweze kufurahia mwamka mmoja wake
.
AKiongea leo na Wahariri na waandishi wa vyombo vya Habari Rais John
Magufuli amesema yeye ni mwanamichezo lakini awezi kwenda viwanjani
ambapo timu ikifungwa mashabikiwake wana ng'oa viti,nakusisitiza kuwa bora aende kutazama
NDONDO CUP.
Nakumpongeza waziri mwenye zamana ya michezo kwa hatua ya kuifungia timu hizo kuto kuchezea ktk kiwanja hiko kwasababu kimetumia gharama nyingi harafu wanaharibu .
Post Top Ad
Responsive Ads Here

MPYAA >>>> JPM ALILIA FIESTER
Share This
Tags
# HABARI
Share This
About gambatheboss
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI
" Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
No comments:
Post a Comment