KESHO...TAR 4/11/2016 Saa 4:00 Asubuhi..
Mheshimiwa Rais Dkt John P. Magufuli ataongea na Taifa kupitia Wahariri/Waandishi wa Habari moja kwa moja kutoka Ikulu, kupitia Vyombo vya habari (radio na tv).
Atazungumza na wananchiK na kuongelea kero mbalimbali kupita vyomb vya habari kaa karibu na na redio yako /tv kuweza mkumsikiliza live mheshiwa rais
No comments:
Post a Comment