Tanzia alie kuwa mbunge wa Jimbo la Dimani Fum ba ZNZ- CCM, leo alfajiri majira ya Saa Tisa mh. Hafidh Tahir ALLY amefariki katika general hospital Dodoma.
Kifo chake kimekuwa ghafla, kwani Jana Wabunge wenzie wa Yanga walimchagua kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Tawi la Wabunge wana Yanga Dodoma, Chini ya Uwenyekiti wa Venance Mwamoto.
Mh Hafidhi alipewa Heshima hiyo kwakuwa huko Nyuma amekuwa Mwamuzi wa FIFA kwa Muda Mrefu.
No comments:
Post a Comment