.
Leo
October 27 2016 mbele ya waandishi wa habari Waziri wa ardhi, nyumba na
maendeleo ya makazi, William Lukuvi, waandishi wamemuliza kuhusu
ulipofikia mgogoro wa shamba hilo ambapo alijibu kuwa wameshatoa notice
ya kumfutia umiliki wa shamba Sumaye sababu ni kwamba hajaliendeleza
shamba hilo,
Waziri mwenye
dhamana, William Lukuvi alisema kuwa tayari wameshampa notisi kisheria
na kinachosubiriwa ni sahihi ya Serikali
kupitia Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imenza rasmi
mchakato wa kumnyang’anya shamba Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye
kwa kulimiliki muda mrefu bila kuliendeleza.
Shamba hilo linaloingia mikononi mwa Serikali, ni lile liliko katika eneo la Mwabwepande jijini Dar es Salaam ambalo mwishoni mwaka jana, wananchi waliobomolewa nyumba zao walilivamia na kujenga.
No comments:
Post a Comment