LeoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliondoka nchini kuelekea nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini humo kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta.
Rais Magufuli amewasili Nairobi kenya kwa ziara hiyo na amelakiwa na mwenyeji wake Rais uhuru kenyatta.
hongera raisi wetu
ReplyDelete