HABARI>>>>ACT WAJIBU TUHUMA ZA ZITTO - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

HABARI>>>>ACT WAJIBU TUHUMA ZA ZITTO

Share This

 October 28 2016, msemaji wa chama cha‘CCM nd- Christopher Ole Sendeka alikutana na waandshi wa habari pamoja na mambo mengine Christopher Ole Sendeka alimshutumu Zitto Kabwe kwa kile alichosema amekuwa na chuki na serikali ya awamu ya tano, huku akidai alikuwa ni miongoni mwa viongozi waliokuwa wanasimamia shirika la NSSF wakati akiwa mwenyekiti wa PAC  ambalo hivi karibuni shirika la NSSF limekumbwa na kashfa ya ufisadi hivyo Ole Sendeka ametaka Zitto achunguzwe.

Baada ya tuhuma hizo chama cha ACT Wazalendo kimekutana na waandishi wa habari leo   kupitia kwa katibu wa bunge na Serikali za mitaa wa ACT Wazalendo, Habibu Mchange ambapo amesema wameshtushwa  na tuhuma hizo zilizotolewa na  msemaji wa chama cha Mapinduzi ‘CCM’, Christopher Ole Sendeka dhidi ya Kiongozi wa chama chao,  Zitto Kabwe,  hivyo kutokana na hayo chama cha chao kinakaribisha uchunguzi juu ya mali za Zitto.

Chama chetu kinakaribisha uchunguzi juu ya mali na madeni ya Kiongozi wetu, ndugu Zitto. Tutafurahi uchunguzi huo ukihusisha akaunti zake za benki pamoja na mfumo wa maisha yake binafsi’’Tunavitaka vyombo vya uchunguzi vianze kazi hiyo mara moja.

tunaamini kuwa  Kama kuna Kiongozi ambaye Mali, Madeni, Maslahi na akaunti zake viko wazi basi ni ndugu Zitto.

 Ikumbukwe kuwa Katiba na Kanuni za chama chetu huwataka Viongozi wote wa chama kuweka hadharani tamko la mali zao na madeni, ndugu Zitto alitekeleza matakwa hayo ya kisheria, na mali pamoja na madeni yake yako hadharani hata kwenye mitandao pia waweza kupata 

hayo yamezungumzwa na Habibu Mchange kutokana na taarifa ya msemaji wa ccm ndug olesendeka

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages