Ikiwa Leo October 29 2016 Rais Dk. John Pombe Magufuli akisherekea siku yake yakuzaliwa
lakini kaendelea kufanya kazi yake nakufanya mabadiliko wa kutengua uteuzi wa mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini (DCI) Diwani Athuman
Taarifa hiyo imesomwa na katibu mkuu kiongozi Balozi John Kijazi nakusisitiza ’Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia leo na kwamba Diwani Athuman atapangiwa kazi nyingine‘
‘Kufuatia uamuzi huo, uteuzi wa mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai utatangazwa baadaye‘
No comments:
Post a Comment