MPYAA>>>> WAZIRI MKUU WA ITALIA AJIUZURU - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MPYAA>>>> WAZIRI MKUU WA ITALIA AJIUZURU

Share This

Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi amejiuzulu baada ya kukubali kushindwa katika kura ya maamuzi kuhusu marekebisho ya katiba nchini humo.


Akihutubia wanahabari usiku, kiongozi huyo alisema anakubali lawama kutokana na matokeo hayo, na kwamba kambi ya La, ambayo ilipinga mageuzi hayo, sasa inafaa kutoa mapendekezo ya mwelekeo kutoka sasa.

                                     zaidi ingia hapa>>>>>

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages