SPORT>>> SERGE WAWA AJEJEA CLAB YAKE YA ZAMANI - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SPORT>>> SERGE WAWA AJEJEA CLAB YAKE YA ZAMANI

Share This


Beki Serge Wawa amerejea katika klabu yake ya zamani ya El Merreikh na kusaini miaka miwili.Wawa raia wa Ivory Coast alijiunga na Azam FC akitokea katika klabu hiyo ya Sudan.
 Ikiwa ni siku chache baada ya kueleza kuwa Kocha Zeben Hernandez ambaye anainoa Azam FC kuonyesha hamtaki.
Wawa alikuwa  beki tegemeo wa Azam FC, lakini alianza kuyumba na kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza baada ya kuwa majeruhi.

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages