Huku Yanga wanaibuka na ushindi hapa Sokoine ushindi wa goli moja lililofungwa na Saimon Msuva, Katika uwanja Uhuru
Simba FC wanapoteza dhidi ya Lyon ( 1 -0) , kule Kirumba Azam wanafungwa na Mbao FC ( 2 - 1)
Hadi refa anapuliza kipenga cha mwisho na timu zikiwa na matokeo kama ulivyo on ahapo juu.
No comments:
Post a Comment