Hillary Clinton alianza vizuri katika uchaguzi huo akiongoza lakini mambo Trump ameshinda majimbo muhimu yakiwemo Ohio, Carolina Kaskazini na Florida, na sasa yamebaki majimbo 270 ya uchaguzi (electoral votes)
Pamoja na
kura zote zitakazopigwa na Wamarekani leo, bado hazina maamuzi ya moja
kwa moja mpaka pale wajumbe 538 wanaoteuliwa kutoka katika majimbo yote
50 nchini humo watakapoamua kupitisha jina moja la mshindi wa Urais.
Kwa mujibu
wa sheria za Urais Marekani, ili mgombea athibitishwe kuwa mshindi wa
kiti cha Urais inabidi apate sio chini ya kura 270 kutoka kwa wajumbe
hao 538 ambao huamua mshindi kwa namna watu walivyopiga kura katika
majimbo mbalimbali.


No comments:
Post a Comment