MUSIC>>>MR BLUE NAJISIMAMIA MWENYEWE - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MUSIC>>>MR BLUE NAJISIMAMIA MWENYEWE

Share This

Msanii wa muziki wa kurap, Mr Blue amesema hahitaji kuwa na meneja wa kumsaidia katika kazi zake za muziki kwa kuwa tayari alishawahi kuwa na mameneja zaidi ya watatu ambao  hawakumpatia mafanikio yoyotee.

Mr.blue ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Mboga Saba’ amesema alikuwa hawezi kuishi kwenye tasnia ya muziki bila kuwa na meneja lakini kutokana na kuona mchango wao kwake haukuzaa matunda akaamua kuachana nao kabisa


Rapa huyo kwasasa anaitaji ushauri wa wadau namna ya kuboresha kazi zake” Mr Blue.Hivi sasa pamoja na AliKiba wameshiriki kusapoti ngoma ya Abby Skills inayokwenda kwa jina la Averina , ambapo Abby Skills amewataka mashabiki kumuunga mkono ili arejee vyema kwenye game kama zamani.

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages