MPYAAA >>>> WAMAREKANI WAANDA MANA - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MPYAAA >>>> WAMAREKANI WAANDA MANA

Share This
Rais Barrack Obama anatarajiwa kumkaribisha rasmi rais mteule Donald Trump katika ikulu ya Whitehouse leo, mnamo wakati maelfu ya raia wa Marekani wameandamana katika majimbo mengi nchini humo kupinga ushindi wa bilionea huyo. Katika maeneo mengine waandamanaji wameziba barabara hivyo kutatiza shughuli za usafiri na kulazimisha polisi kutumia gesi za kutoa machozi. Miongoni mwa miji ambayo maandamano yamefanyika ni  NewYork, Los Angeles, Carlifornia na Oakland.

wamareani wakipinga trump kushinda

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages