MPYAA>>>> WASHINDI WA YOUTUBESSA NAWA TANZANIA WAMO WAWILI - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MPYAA>>>> WASHINDI WA YOUTUBESSA NAWA TANZANIA WAMO WAWILI

Share This


Diamond na Millad Ayo ni miongoni mwa washindi 10 watuzo za you tube Awards

Tuzo hizo ambazi huandaliwa na google zimekuwa zikitolewa mabara mengine tangu mwaka 2007 ili kuwapongeza watu wanaofanya vizuri kwenye mtandao wa Youtube. Nomination za tuzo hizo huangalia idadi ya subscriber ya watumiaji.

Diamond ameshinda kipengele cha 'Top Subscribed Creator in Tanzania' na Millard Ayo ameshinda kipengele cha 'News and politics
'
Hawa ni washindi wengine 8

Comic – Ramscomics / Supastrikas

Education – Retutpro – Photography and Photoshop Tutorials

Fitness – Six Pack Factory

Games – Slushy AJ

Nonprofit – Jim Nduruchi

Pets and animals – Earth Touch

Top Subscribed Creator in Ghana – OfficialSarkodie

Top Subscribed Creator in Senegal – Prince Arts

Top Subscribed Creator in Zimbabwe – Mufti Menk

Top Subscribed Nollywood Channel – IbakaTV/Nollywood




No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages