MPYA >>> BAVICHA WAFUNGA OFISI YA WILAYA - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MPYA >>> BAVICHA WAFUNGA OFISI YA WILAYA

Share This
Leo vijana wa bavicha wilaya ya karatu mkoa wa arusha wakifunga mlango wa ofisi yao ya wilaya wakishinikiza kujengewa ofisi. Baada ya fedha zao kuliwa na viongozi wao.. ...

Kundi la vijana zaidi ya 30 wa baraza la vijana wa chama Chadema wilayani Karatu mkoani Arusha limevamia ofisi ya chama hicho na kuifunga kwa nguvu wakishinikiza uongozi wa wilaya hiyo kuacha kuendelea kupanga kwenye kilabu cha pombe na badala yake kujenga ofisi inayotambulika .

Vijana hao wame lalamika wamechoshwa naviongozi wao kuto kujenga jengo  ilihalikuwa wamechanga michango nafedha zao kutafunwa wameamua kuifunga ofisi hiyo leo

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages