
KAMA MH RAISI ANGELISAFIRI SAFARI ZOTE ZA NJEE ANGETUMIA BILIONI 5.7 HADI SASA.
Ikulu ilipata mialiko 47 ya raisi kuwasafiri na kuiwakilisha nchi njee ya nchi.
Kati ya safari hizo Mh rais amekwenda 3 tu.
Mialiko 44 iliyobakia hakwenda kabisa hivyo kuokoa shilingi bilioni 5.7
TAKWIMU HAZIDANGANYI.
-Msafara wa raisi kwa safari moja ni watu 50.
-Kila safari moja ya Raisi hutumia siku 3.
-Posho kwa kwa siku moja kwa kila mjumbe ni shilingi 872, 000.
-Kwa wajumbe wote 50 kwa siku wangelipwa 43, 600,000
-Kwa siku tatu wajumbe hao wangelipwa 130,800,000
-Kwa siku tatu wangelipwa 5.7 bilioni kwa safari zote za ndani.
NB: Fedha hizi zitategemea na eneo analokwenda raisi.
Kama ni safari zinazohusisha bara la ulaya au America zitakuwa kwenye malipo ya Safari za Daraja A ambapo kila mjumbe atalipwa shilingi 915,600. Tofauti na safari za daraja B ambazo huusisha bara la Afrika na Asia Ambazo hulipwa 828,400.
Kama msafara wa Raisi utasafiri zaidi ya masaa 8 angani posho hii itaongezeka kwa kila daraja.
MAHITAJI MENGINE
-Kila Mjumbe kupewa fadha kwa ajili ya Suti mpya.
-Kila mjumbe kupewa fedha za poketi money
-Kila mjumbe kupewa fedha za kujikimu hizi ni tofauti na poketi money.
-Kila mjumbe kulipiwa usafiri wa ndani katika nchi husika.
Hili ni eneo moja tu lililookolewa. Ndio maana kwa mwaka mmoja ameweza kufanya yafuatayo.
1. Ununuzi wa ndege Mbili mpya kabisa kwa pesa cash
2. Ukarabati mkubwa wa meli ya Mv Liemba.
3.Upanuzi wa moroko road na Mwanza airport
4. Utoaji wa elimu bure kwa shule zote za serikali kuanzia awali hadi form four.
5. Ujenzi wa reli ya kati (mradi unaendelea)
6. Maboresho makubwa kwenye sekta ya afya hasa hosp ya muhimbili.
7. Kuanza kujenga fly over mkoa wa Daresalam ( mradi unaendelea)
Haya ni baadhi tu ya mambo aliyofanya. Yapo mengi sana tutawapa taarifa kamili.
No comments:
Post a Comment