HABARI>>> ANGELA MERKEL AMUONGELEA RAIS MTEULE WA MAREKAN - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

HABARI>>> ANGELA MERKEL AMUONGELEA RAIS MTEULE WA MAREKAN

Share This
Mara baada tu ya ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi mkuu nchini Marekani  kansela wa Ujerumani Angela Merkel kasema rais mteule Trump atabidi azingatie maadili ya pamoja ya kidemokrasia katika ushirikiano na Ujerumani na pia akamkumbusha wajibu alionao duniani baada ya kupigiwa kura kwa wingi na Wamarekani

 Hillary Clinton akubali kushindwa na kumpongeza Trump, Viongozi mbalimbali watuma pongezi kwa Trump. kwa ushindi alio upata .

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages