BREAKING NEWS>>>>>> TANZIA TANZANIA ALILEKUWA SPIKA WA BUNGE SAMWELI SITTA AFARIKI DUNIA - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BREAKING NEWS>>>>>> TANZIA TANZANIA ALILEKUWA SPIKA WA BUNGE SAMWELI SITTA AFARIKI DUNIA

Share This
                                           R.I.P MZEE SAMWELI SITTA

TANZIA: Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu... Poleni ndugu , jamaa na marafiki wote.


Mzee Samwel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Technical University of Munich Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu tangu mwezi uliopita.

 Namuomba Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu mahali pema peponi, Ameni”

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages