YANGA YAKODISHWA KWA MIAKA 10 - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

YANGA YAKODISHWA KWA MIAKA 10

Share This

Klabu ya Dar es Salaam Young Africans kupitia kwa bodi ya wadhamini wa klabu hiyo, leo October 6 2016 imetoa taarifa rasmi ya kuamua kuikodisha klabu hiyo kwa kampuni ya YANGA YETU LIMITED, bodi ya wadhamini imeikodisha klabu katika kipindi cha miaka 10.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MUHTASARI WA MKATABA.
1. Bodi ya Wadhamini wa Young Africans Sports Club, (ambayo hapa inajulikana kama Mmiliki”) imeingia tarehe 3 September, 2016 Mkataba wa kukodishwa na kampuni ijulikanayo Yanga Yetu Limited (inayojulikana hapa kama “Mkodishwaji” kwa muhtasari wa maazimio yaliyoafikiwa katika Mkutano Mkuu wa Young Africans Sports Club uliofanyika tarehe 6 Agosti, 2016 ulitambua kuwa Young Africans Sports Club (anayejulikana hapa kama “YANGA”):>>>>>>>>>habari zaidi

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages