Klabu ya Kagera Sugar ya Bukoba leo October 27 2016 imewasimamisha wachezaji wake wawili kwa tuhuma za kuhujumu timu hiyo wakati wa mchezo dhidi ya Yanga, uliomalizika kwa Kagera kufungwa goli 6-2.
Kagera Sugar imeripotiwa kuwasimamisha wachezaji wake wawili ambao ni golikipa Husein Shariffu na beki Eric kiaruz ambaye alisababisha kufungwa kwa goli la tano na Yanga, hiyo ilikuwa baada ya kurudisha mpira nyuma kwa golikipa David Buruhani lakini ukanaswa na mshambuliaji Dolnad ngoma wa Yanga
huyu ndo kipa alie simamishwa na kagera suger Hsein Shariffu.
No comments:
Post a Comment