
Ni baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Dar es Salaam Young
Africans Hans van Pluijm kutangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo, baada ya
kusikia kuwa kuna kocha kutoka Zesco United ya Zambia George Lwandamina
amekuja tayari Tanzania kuchukua nafasi yake, leo October 25 amewaaga
rasmi wachezaji wake na benchi la ufundi.
Hans kawaaga wchezaji na benchi lote la ufundi leo hii .lakini atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa alio ufanyia YANGA ikiwamo kutwaa makombe ya ligikuu mfululizo na kushiliki mashindano ya kombe la shilikisho Barani Africa CAF ambapo ilikuwa ina mda haija shiliki mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment