BREAKING NEWS>>>> HANS VAN PLUIJM KURUDI YANGA - G EMPIRE

G  EMPIRE

PATA HABARI ,MATUKIOMBALIMBALI KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA GAMBATHEBOSS

Latest in Tech

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BREAKING NEWS>>>> HANS VAN PLUIJM KURUDI YANGA

Share This

Siku chache baada ya  kocha mkuu wa klabu ya Dar es Salaam Young Africansi Hans van Pluijm ajiuzulu nafasi yake hiyo, leo October 28 2016 klabu ya Yanga imemuandikia barua ya kumuomba abadili maamuzi yake ya kujiuzulu na arejee kazini kama kawaida.

Baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa kaimu katibu mkuu wake Baraka Deusdedit pamoja na waziri wa mambo ya ndani ya nchi  ambaye pia ni shabiki wa Yanga na mwanachama mh.Mwigulu Nchemba, wamemuomba kocha Hans Pluijm atengue uamuzi wake wa kujiuzulu na kurudi kazini kama kawaida.


Kwa maamuzi hayo ya Yanga kumuomba kocha Hans Pluijm arudi awezakurejea katika benchi la Yanga kwa siku za karibuni, inaripotiwa kuwa maamuzi ya Yanga kuandika barua hiyo yaliafikiwa baada ya kukaa  na kufanya maongezi na kocha Hans van Pluijm kwa siku tatu pamoja na katibu na waziri Mwigulu   PICHA IKIMUONYESHAA WAZILI MWIGULU NA PLUIJM NA UONGOZI WA YANGA

No comments:

Post a Comment

BREAKINK NEWS>>>>.GAMBATHEBOSS IMERUDI HEWANI

     " Tuna ombaradhi wapenzi wa somaji wetu kwa kupotea hewani takribani mwaka mmoja na nusu hivi  kutokana na tatizo lililo kuwa nje ...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages